About this product
Gubeli
Hili ni gauni Aina ya gubeli la kifahari na starehe, rangi yake inang'aa na inatoa muonekano wa mwanamke mtulivu na mstaharabu, rangi ni mmchanganyiko wa njano, kahawia, nyeupe na kremu. Kitamba ni lain na nyepesi kinachopitisha hewa vizuri, inafaa kipindi cha joto