About this product
Morden wooden showcase
Tunatengeneza TV showcase kwa ubora wa hali ya juu ili kuongeza uzuri na mpangilio mzuri wa sebule au ofisi yako. Showcase hii sehemu kubwa ya juu kwa ajili ya kuweka Television , Kabati Mbiliza kuhifadhia vifaa mbalimbali, vifaa vya sauti au vifaa vingine vya kielectroniki, pamoja na sehemu ya mapambo inyoongeza Mvuto wa nafsi yako