About this product
Gauni fupi ya kumwaga
Gauni fupi la kumwaga, gauni la kisasa lenye mchanganyiko wa rangi ya orange/chungwa, nyeusi na njano. Gauni zuri Kwa mtoko wa usiku au sehemu ya matukio kama matamasha, gauni la mikanda mabegani na muongo wazi