About this product
T-Shirt
T-shirt nzuri za kuvutia, zilizotengenezwa Kwa material ya cotton na polyster, zinafaa kuvaliwa na jean, short pans na skirt. Zinavaliwa kipindi cha joto na cha baridi juu yake ikiambatanishwa na jacket. Ni T-shirt zenye muonekano nadhifu ila zina utofauti wa chapa ya mbele. Rangi ya cleam Zinampendezesha kila mwanamke kutokana na material pamoja na muonekano wake wa ung'aavu