About this product
Bed Sofa Kati
Kitanda kimetengenezwa kwa Mabo imara zenye ubora wa hali ya juu, Kinacho kuhakikishia uimara na matumizi ya muda mrefu. Headboard yake imefunikwa kwa kitambaa laini kinachoongeza Mvuto na mwonekano wa kifahari. muundo wake wa kisasa na umaliziaji Mzuri wa rangi ya kahawia hukifanya kiendane na aina Mbalimbali za mapambo ya ndani.