About this product
Wooden Bed
Kitanda cha mbao kilichotengenezwa kwa mbao imara na bora, chenye muundo wa kisasa na unaovutia. Kina uimara mzuri, kinatoa support ya kutosha wakati wa kulala, na kinafaa kwa chumba cha kulala cha kisasa au cha kawaida. Ni rahisi kuendana na aina mbalimbali za mapambo ya chumba.