About this product
RIDGEBACK TERRAIN 20
Baiskeli imara na yenye muonekano wa kisasa, inayofaa kwa matumizi ya kila siku pamoja na safari za maeneo yenye changamoto.
✨ Sifa kuu:
- Magurudumu yenye matairi mazito ya grip kwa barabara mbalimbali
- Suspension ya mbele kwa ulaini na udhibiti mzuri
- Frame imara ya chuma
- Gear system yenye derailleur ya nyuma
- Brakes za kuaminika
- Kiti comfortable kwa matumizi ya muda mrefu
- Muundo wa kisport na kuvutia
🔥 Inafaa kwa: Safari za kawaida, michezo, mazoezi na matumizi ya kila siku.