About this product
Batiki Dress
Batiki dress yenye muonekano wa kisasa na wa kuvutia. Imetengenezwa kwa kitambaa cha kitenge chenye mchanganyiko mzuri wa rangi na michoro ya kipekee, pamoja na mapambo ya mistari kwenye mikono na sehemu ya chini ya gauni. Ina muundo mpana na unaotoa uhuru wa kutembea, hivyo inafaa kwa matumizi ya kila siku, matembezi, sherehe na hafla mbalimbal