About this product
CARRERA BICYCLE
Baiskeli ya Carrera Mountain Bike yenye muonekano wa kisasa na sporty. Imetengenezwa kwa ajili ya safari za mjini na barabara zisizo na lami, ikiwa na front suspension, tyres zenye grip nzuri na gears nyingi kwa matumizi rahisi na yenye nguvu. Ni chaguo zuri kwa usafiri wa kila siku, mazoezi na adventure.