Compare products
Stack up to 4 listings from the same category or the same product name across shops and factories. Highlights show the best value for price, ratings, sales, views, and likes—plus softer signals when a listing has less sales history.
Ready to compare
Add at least two products
Use Add to compare in the catalog below to unlock side-by-side pricing, ratings, supplier details, and smart buy guidance.
Add products here
Search and filter without leaving this page. We hide listings already in your compare row.
Hii ni pochi ya kike yenye muonekano wa kifahari na wa kisasa, inayofaa kwa matumizi ya kila siku, kazini, kwenye safari fupi au kwenye hafla. Maelezo ya bidhaa: 👜 Rangi: Nyeusi ✨ Ina mishikio miwili ya kubebea mkononi 🎒 Ina mkanda mrefu unaoweza kutumika begani 🔶 Ina mapambo ya golden hardware yanayoipa mwonekano wa kifahari 🧵 Imetengenezwa kwa material yenye texture ya ngozi (pebbled finish) 📦 Ina nafasi nzuri ya kuhifadhi simu, pochi, vipodozi, nyaraka na vitu vingine muhimu 👗 Inafaa kwa wanawake wa aina mbalimbali za mavazi, kuanzia casual hadi formal.
TSh 20,000
Pepe Jeans – Dark Blue Slim Fit Dark blue denim Slim/tapered fit Stylish faded finish 5-pocket design Button & zip closure Sizes 30–38
TSh 20,000-22,000
Ina Storage ya 128GB,na RAM yake ni 8GB zipo rangi tofautofauti,Clean condition,ina warrant ya miezi minne,used from Dubai
TSh 480,000
Ni beg nzuri ya kisasa kitambaa chake sio cha kunyonyoka nyuzi ki ufupi iko vizuri hutojutia kuinunua hii beg
TSh 55,000
ni buti za mtindo wa casual, zinazojulikana kwa muundo wake wa boot wa urefu wa inchi 6. Mara nyingi huwa na: 👢 Muundo wa 6-inch wenye lace 🟤 Rangi maarufu ya wheat (kahawia ya manjano) 💧 Muundo unaolenga kustahimili maji 🥾 Sole yenye traction nzuri 🧥 Inafaa kuvaliwa na jeans, cargo pants na mavazi ya casual
TSh 120,000
Ni beg ambayo iko poa na haiingizi maji ndani ni bora sana kwa safari na hazifunjiki
TSh 65,000
Zimetengenezwa kwa ngozi hazitanuki wala haziharibiki haraka zinapatikana rangi tofauti tofauti
TSh 13,000
Ni nyepesi ukiva zina rangi nzuri na zimefunikwa kwa mbele wanavaa wadada naunawezankuvaa mahali kokote
TSh 12,000