About this product
Biryan
Biryani yenye harufu nzuri na ladha ya kipekee, ikiambatana na kuku wa kuchoma, nyama yenye mchuzi mzito, mayai ya kuchemsha, viazi vya crispy na ndizi, pamoja na viungo maalum vinavyoongeza utamu na mvuto wa chakula. Ni mlo mkubwa, wenye mchanganyiko wa ladha tofauti kwa ajili ya kushibisha na kufurahia pamoja.