About this product
AMRS Chunky Sneaker
Viatu vya kisasa vya fashion sneakers vyenye mchanganyiko wa rangi nyeupe na nyeusi, muundo wa chunky unaovutia na sole nene kwa muonekano wa kisasa. Vinafaa kwa matumizi ya kila siku, matembezi, casual outfits na streetwear. Ni vyepesi, comfortable na vinaweza kuendana vizuri na jeans, tracksuit au casual wear.