About this product
POCHI
Hii ni pochi ya kike yenye muonekano wa kifahari na wa kisasa, inayofaa kwa matumizi ya kila siku, kazini, kwenye safari fupi au kwenye hafla. Maelezo ya bidhaa: 👜 Rangi: Nyeusi ✨ Ina mishikio miwili ya kubebea mkononi 🎒 Ina mkanda mrefu unaoweza kutumika begani 🔶 Ina mapambo ya golden hardware yanayoipa mwonekano wa kifahari 🧵 Imetengenezwa kwa material yenye texture ya ngozi (pebbled finish) 📦 Ina nafasi nzuri ya kuhifadhi simu, pochi, vipodozi, nyaraka na vitu vingine muhimu 👗 Inafaa kwa wanawake wa aina mbalimbali za mavazi, kuanzia casual hadi formal.