Join Shoboca to order from local shops, sell as a seller, or deliver as a boda driver. Free to join.
LADIES FLAT SLIDE SANDALS

Supported payment methods

Airtel, Vodafone, Visa, Mastercard Mastercard ID Check Mixx by Yas

About this product

LADIES FLAT SLIDE SANDALS

Sandals* *Aina*: *Ladies Flat Slide Sandals / Flat Mules* *Brand*: *ZARA* - imeandikwa kwenye insole *Rangi*: *Gold ya dhahabu* - inang'ara na inatoa class *Nyenzo*: *Synthetic Metallic Leather* laini

*Vipengele Muhimu* 1. *Design*: Ina _straps_ nyingi zilizopinda zikakutana mbele na _knot_ kubwa yenye mapambo ya _crown/burst_ 2. *Sole*: Ni _flat_ - hakuna kidevu. Chini ni laini na imara, inafaa kutembea nayo 3. *Comfort*: Haina kubana, wazi mbele na nyuma - inafaa kwa hali ya joto 4. *Finish*: Rangi ya dhahabu yote, inang'aa na inavutia macho

*Inafaa na nini* - *Matukio*: Harusi, birthday, party ya mchana/jioni, outing - *Casual Chic*: Na maxi dress, jumpsuit, au suruali ya kitambaa - *Picha / Photoshoot* - inatoa mwonekano wa kifahari sana - *Nyumbani au nje* kwa mwanamke anayependa kuwa maridadi bila kuteseka na vichupi

*Kwa nini watu wanapenda hii style* - *Inaangaza* - gold inafanya mguu uonekane mzuri - *Ni rahis* kuvaa na kuvua - *Mtindo wa ZARA* - unafanana na wa boutiques za kibepari - *Inaendana na kila kitu* cha rangi nyeupe.

  • Catalog

    2 products

  • Shipping

    Tanzania

More from this supplier

Similar items from the same supplier — auto-scrolls; hover to pause.