About this product
Cocktail perfume
ni perfume yenye harufu kali, ya kuvutia na yenye mvuto wa kipekee. Imetengenezwa kwa ajili ya mtu anayependa fragrance yenye intensity, elegance na confidence.
🔥 Sifa zake:
- Harufu kali na yenye kuvutia
- Inadumu kwa muda mrefu
- Inafaa zaidi kwa matumizi ya usiku na special occasions
- Huacha harufu nzuri inayovutia waliokuzunguka
- Chaguo zuri kwa mtu anayependa perfume yenye presence kubwa.