About this product
Kwaibao bag
Begii ya kisasa yenye muonekano wa kifahari na wa kitaalamu, inayofaa kwa matumizi ya kila siku, kazini, chuoni na safari. Imetengenezwa kwa material imara, ina nafasi ya kutosha kwa laptop, documents, nguo na vifaa vingine muhimu. Ina zipu imara, handle ya juu na mikanda ya kubebea yenye kustarehesha.