About this product
S810
💎 Smartwatch ya Kifahari kwa Wanawake 💎⌚ ✨ Muonekano wa kisasa na wa kuvutia 🎀 Inakuja na bracelet ya kuvutia + straps 2 za ziada 📱 Inasaidia notifications za simu 📞 Kupokea/kupiga simu kupitia Bluetooth 💬 Ujumbe na taarifa za apps huonekana kwenye saa ❤️ Health & fitness tracking 🔋 Betri yenye matumizi mazuri 🎁 Package nzuri sana kwa zawadi