About this product
SHOW CASE
Hii ni TV stand/Entertainment unity ya kisasa yenye design ya kipekee. Rangi Nyeusi na mikope Nyeusi pamoja na vishikizo vya dhahabu. Design ni zig zag upande wa kushoto na sehemu ya wazi katikati. Inatoa mwonekano wa kipekee