About this product
Iphone 11 case
Case maalum ya iPhone 11, yenye muonekano mzuri na ulinzi dhidi ya mikwaruzo, vumbi na madhara ya kuanguka. iPhone 11 ina screen ya 6.1-inch, hivyo case inapaswa kuwa specifically ya iPhone 11.
Features:
- 🛡️ Kinga dhidi ya kuanguka na mikwaruzo
- 📷 Raised edges kulinda camera
- ✋ Grip nzuri mkononi
- 🔌 Inaruhusu charging bila kuondoa case
- ✨ Design nyembamba na stylish