About this product
TOTU LIFE STORM C2
TOTU LIFE STORM C2 Smart Watch ⌚
Saa ya kisasa yenye muonekano wa kifahari na display kubwa ya kugusa, inayofaa kwa matumizi ya kila siku, mazoezi na shughuli mbalimbali. Ina kamba inayoweza kurekebishwa, muundo mwepesi na wa kuvutia, pamoja na mfumo wa smart watch unaokusaidia kufuatilia shughuli zako kwa urahisi.
Sifa kuu:
- ⌚ Smart Watch TOTU LIFE STORM C2
- 📱 Large Touchscreen Display
- ❤️ Health & Fitness Tracking
- 🔔 Notifications za simu
- 🏃 Inafaa kwa mazoezi na matumizi ya kila siku
- 🎨 Design ya kisasa na classy
- 🔗 Kamba inayoweza kubadilik