About this product
Jersey
Jezi nzuri na ya kisasa iliyotengenezwa kwa kitambaa chepesi, laini na kinachopitisha hewa. Inafaa kwa mpira wa miguu, mazoezi, gym na michezo mbalimbali. Ina muonekano wa kisporti, ni imara na inakupa uhuru wa kufanya shughuli zako kwa raha.