About this product
Anklet chain
Anklet yenye muonekano wa kifahari na maridadi, ikiwa na mnyororo wa tabaka mbili pamoja na mapambo madogo ya duara yanayoongeza mvuto. Imetengenezwa kwa mtindo mwepesi na wa kuvutia, unaofaa kwa matumizi ya kila siku au kwenye matukio maalum.
💛 Aina: Double-Layer Anklet ✨ Muonekano: Gold/Golden 🌸 Style: Elegant & Fashionable 👗 Inafaa: Wanawake na wasichana 🎁 Perfect kwa: Matumizi binafsi au zawadi.