Join Shoboca to order from local shops, sell as a seller, or deliver as a boda driver. Free to join.
Batiki Dress

Supported payment methods

Airtel, Vodafone, Visa, Mastercard Mastercard ID Check Mixx by Yas

About this product

Batiki Dress

Batiki dress yenye muonekano wa kisasa na wa kuvutia. Imetengenezwa kwa kitambaa cha kitenge chenye mchanganyiko mzuri wa rangi na michoro ya kipekee, pamoja na mapambo ya mistari kwenye mikono na sehemu ya chini ya gauni. Ina muundo mpana na unaotoa uhuru wa kutembea, hivyo inafaa kwa matumizi ya kila siku, matembezi, sherehe na hafla mbalimbali

  • Catalog

    2 products

  • Shipping

    Tanzania

More from this supplier

Similar items from the same supplier — auto-scrolls; hover to pause.