About this product
Showcase
TV Showcase ni kabati maalum la kuweka TV, linalosaidia TV kukaa vizuri na kwa usalama huku likitoa nafasi ya kuhifadhi vifaa kama decoder, remote, game console na vingine. Lina muonekano wa kisasa na linafaa kwa sebule, chumba cha kulala au ofisi.