About this product
HAYAAT PERFUME
ni perfume yenye harufu ya kuvutia, laini na ya kifahari. Ina aroma yenye mchanganyiko wa utamu na freshness, inayomfanya anayeitumia ajisikie mwenye kujiamini na kuvutia.
✨ Sifa zake:
- Harufu nzuri na ya kuvutia
- Inafaa kwa wanaume na wanawake
- Inadumu kwa muda mrefu
- Nzuri kwa matumizi ya kila siku na special occasions
- Huacha fragrance nzuri inayokumbukwa