About this product
Faux Fur
ni kifuniko cha kiti kilichotengenezwa kwa manyoya bandia laini na yenye kuvutia. Huongeza mwonekano wa kifahari, joto na comfort kwenye kiti, huku kikifanya sehemu ya kukalia ionekane ya kisasa na elegant. Kinafaa kwa viti vya dining, office, bedroom, salon na home décor.