About this product
Nike Air Zoom
viatu vya mpira vilivyotengenezwa kwa ajili ya wachezaji wanaohitaji kasi, agility na control nzuri ya mpira.
- ⚡ Kasi: Design nyepesi inayosaidia kuongeza speed.
- 🦶 Comfort: Air Zoom cushioning husaidia kutoa comfort wakati wa kucheza.
- ⚽ Ball Control: Upper iliyoundwa kusaidia touch na control ya mpira.
- 🔥 Grip: Studs zilizotengenezwa kwa traction nzuri kwenye uwanja.
- 💪 Durability: Zimetengenezwa kwa matumizi ya michezo na mazoezi.
- 🏟️ Zinafaa kwa training na mechi kulingana na aina ya sole/uwanja.