About this product
Handbag
Pochi nzuri na za kisasa zenye muonekano wa kuvutia, zinafaa kwa matumizi ya kila siku, kazini, shopping au kwenye matukio. Zimetengenezwa kwa material imara, zina nafasi ya kutosha kwa simu, pochi, vipodozi na vitu vingine muhimu. 📦 Zinapatikana kwa rangi na design mbalimbali. 📩 Wasiliana nasi kwa oda.