Compare products
Stack up to 4 listings from the same category or the same product name across shops and factories. Highlights show the best value for price, ratings, sales, views, and likes—plus softer signals when a listing has less sales history.
Ready to compare
Add at least two products
Use Add to compare in the catalog below to unlock side-by-side pricing, ratings, supplier details, and smart buy guidance.
Add products here
Search and filter without leaving this page. We hide listings already in your compare row.
a HEJ Immersion Water Heater HJ-135 there. This is a 1500W electric immersion rod used to heat water quickly in a bucket or container
TSh 10,000
Calculator nzuri na imara, nzuri kwa bei nafuu kabisaa kuna first edition na second edition
TSh 25,000
Begi kalii sanaa ya kisasa imara na inayokwenda na wakati inafaa Kwa safari zote
TSh 120,000
Jina la Model:* PK-YJ48810 *Brand:* KAMA OMAYA *Aina:* Backpack / Mkoba wa shule kwa watoto - *NDOGO* *Vipimo* - *Ukubwa:* 32cm _ 24cm _ 13cm (Urefu _ Upana _ Unene) *Sifa Muhimu* - *Design:* Ina picha za 3D za wahusika wa katuni. Kwenye picha kuu ni *Spiderman* nyekundu na bluu. - *Nyenzo:* Inaonekana ni ya nyenzo ngumu mbele "hard shell" isipondeke, na nyuma na kamba zina padding kwa ajili ya faraja. - *Rangi & Tema zilizopo:* 1. *Spiderman* - Nyekundu + Bluu + Nyeusi 2. *Captain America* - Bluu + Nyekundu 3. *Paw Patrol* - Bluu 4. *Princess / Frozen* - Pink na Purple 5. *Batman* - Nyeusi + Bluu - *Mfuko:* Ina mfuko mkubwa wa mbele wenye picha, mifuko 2 ya kando ya kubebea chupa ya maji, na mfuko mkuu wa ndani wa kuweka vitabu. - *Kamba:* Kamba za mabega zina padding na nyuma pia kuna padding ili isiume mtoto. - *Lengo:* Ni kwa ajili ya watoto wa shule ya msingi / chekechea
TSh 38,000
Helmet nzuri na ngumu zinadumu kwa mrefu, material yake ni plastic ngumu hazi bonyezeki
TSh 12,000
Jina la Model:* D-2137 *Aina:* Crossbody / Sling bag ya wanaume *Vipimo* - *Ukubwa:* 30cm _ 6cm _ 17cm (Urefu _ Upana _ Urefu) *Sifa Muhimu* - *Staili:* Inavaishwa kifuani au mgongoni kwa upande mmoja. Ni ya kisasa na ya michezo kidogo. - *Nyenzo:* Inaonekana ni kitambaa cha Oxford chenye ubora na kisichopitisha maji kwa urahisi - *Mfuko:* Ina mifuko mingi 1. *Mfuko mkubwa wa nyuma* - kwa simu kubwa, power bank, kitabu kidogo 2. *Mfuko wa mbele* - na zipu 2 za rangi ya machungwa 3. *Mfuko mdogo wa juu* - wenye zipu ya mviringo 4. *Mfuko wa diagonal mbele* - kwa vitu vya haraka kama funguo, kadi - *Kamba:* Inarekebishika na ina padding ili isikate bega - *Rangi zilizopo:* Navy blue/Black, Black, Green, na nyinginezo kama inavyoonekana kwenye picha
TSh 12,000
Nzuri na imara, material yake ni ngumu haipauki na inadumu kwa muda mrefu, kuna gram 80 na gram mia 100
TSh 6,000
Rockgolden safety shoes Ni ngumu na imara, zinadumu kwa muda mrefu, oil resistant
TSh 30,000