About this product
Horse canvas wall
Picha ya farasi wa kifahari yenye muonekano wa kisasa na wa kuvutia. Imetengenezwa kwa rangi nyeupe na nyeusi, ikiwa na mapambo ya gold glitter yanayoongeza mvuto na luxury. Ina frame ya dhahabu pembeni na inafaa sana kwa sebule, chumba cha kulala, office, hotel au reception. Ni decor nzuri kwa mtu anayependa nyumba yenye muonekano wa classy na elegant