About this product
Flower Bouquet
ni mapambo ya maua ya bandia yenye muonekano wa kuvutia na wa kifahari.Inafaa kwa kupamba sebuleni, dining room, office, reception, bedroom, hotel au restaurant. Maua haya hayahitaji kumwagiliwa maji wala matunzo ya mara kwa mara, hivyo yanaweza kudumu kwa muda mrefu huku yakiongeza uzuri na mwonekano wa classy kwenye eneo lako.