About this product
Necklace
Seti hii inajumuisha cheni ndefu yenye pendant kubwa, hereni zinazoning’inia na pambo la kichwani, zote zikiwa na muundo wa maua wenye rangi ya dhahabu. Ni nzuri kwa harusi, sherehe, send-off, mahafali na hafla maalum. Muundo wake wa kuvutia huongeza mwonekano wa kifahari na wa kipeke