About this product
Elegant Crystal Necklace
Seti hii ya vito vya urembo ina cheni maridadi yenye mawe ya crystal yanayong’aa pamoja na hereni zinazolingana. Imetengenezwa kwa muundo wa kifahari unaovutia na kuongeza mvuto wa kipekee unapovaliwa.
✨ Inafaa kwa: Harusi, send-off, birthday, mahafali, dinner, sherehe na hafla mbalimbali. 💎 Muonekano: Elegant, classy na luxurious. 🎁 Pia ni chaguo zuri kwa zawadi kwa mwanamke anayependa mitindo na vito vya urembo.