About this product
Sleeveless sports vest
Maelezo ya bidhaa 👕 Aina: Sports vest / singlet ya mazoezi 🖤 Rangi: Nyeusi 🏋️ Inafaa kwa: Gym, running, mazoezi mbalimbali na daily wear 💨 Muonekano: Nyepesi na huru, inaruhusu mwili kusogea kwa urahisi wakati wa mazoezi ✨ Design: Ina maandishi ya Slamble mbele yenye muonekano wa kisasa 👨 Inafaa kwa: Wanaume wanaopenda mavazi ya michezo yenye style 📸 Picha ya kushoto inaonyesha jinsi inavyokaa mwilini, na kulia inaonyesha bidhaa ikiwa kwenye mannequin.