About this product
underwear
Hii ni lingerie ya kike ya rangi nyeupe, iliyotengenezwa kwa lace yenye floral pattern na detailing ya kuvutia. Ina mishipi/straps yenye pete ndogo za gold, pamoja na lace inayoongeza mwonekano wa elegant, delicate na feminine