About this product
underwear
Ni top ya wanawake ya purple/dark mauve, yenye muundo wa body-hugging na mikanda mirefu inayovuka/kuning’inia pembeni. Ina halter-style neckline na kitambaa chepesi kinachokaa vizuri mwilini; inafaa kwa outfit za casual, going out au beach look.