About this product
MOUNTAIN BIKE
Hii ni baiskeli ya Mountain Bike (MTB) yenye muonekano wa kisasa, inayofaa kwa matumizi ya mjini na barabara zisizo na lami. Maelezo: 🚲 Aina: Mountain Bike (MTB) ⚙️ Ina mfumo wa gears kwa kubadilisha kasi 🛞 Magurudumu makubwa yenye tairi za grip nzuri 🛑 Ina disc brakes mbele na nyuma 🔩 Ina suspension ya mbele kwa kupunguza mshtuko 💺 Kiti kinachoweza kurekebishwa kulingana na urefu wa mtumiaji 🎨 Rangi: Nyeusi yenye michoro ya bluu 🏙️ Inafaa kwa safari za mjini, mazoezi na maeneo yenye barabara za changarawe