About this product
MOUNTAIN BIKE
Aina: Mountain Bike Inafaa kwa matumizi ya mjini na barabara zisizo na lami. Ina matairi makubwa yenye mshiko mzuri. Ina gear za kubadilisha kulingana na mteremko au kupanda. Ina brake imara kwa usalama zaidi. Fremu yake ni imara na imeundwa kwa matumizi ya kila siku. Inafaa kwa wanaume, vijana na watu wazima kulingana na ukubwa wa fremu.