Join Shoboca to order from local shops, sell as a seller, or deliver as a boda driver. Free to join.
Pilot bag

Supported payment methods

Airtel, Vodafone, Visa, Mastercard Mastercard ID Check Mixx by Yas

About this product

Pilot bag

Mfuko wa Kusafiria wa Rangi ya Bluu ya Navy - Ukubwa wa Cabin Rangi Bluu ya navy, nzuri na ya kisasa Mfuko wa magurudumu 4 unaoweza kusukumwa. Una mpini unaovutwa na kurekebishwa urefu wake Ni mdogo wa kutosha kubebwa kwenye ndege kama Umetengenezwa kwa kitambaa kizito kisichopenya maji kwa urahisi. Una mifuko ya ziada mbele na kando kwa ajili ya vitu vidogo Ni mzuri kwa safari za haraka, safari za kibiashara, au weekend getaway Ni mfuko wa vitendo, mwepesi na wa kuvutia. Unafaa sana kwa mtu anayesafiri mara kwa mara

  • Catalog

    3 products

  • Shipping

    Tanzania

More from this supplier

Similar items from the same supplier — auto-scrolls; hover to pause.