Join Shoboca to order from local shops, sell as a seller, or deliver as a boda driver. Free to join.
Buyer toolkit

Compare products

Stack up to 4 listings from the same category or the same product name across shops and factories. Highlights show the best value for price, ratings, sales, views, and likes—plus softer signals when a listing has less sales history.

Ready to compare

Add at least two products

Use Add to compare in the catalog below to unlock side-by-side pricing, ratings, supplier details, and smart buy guidance.

Add products here

Search and filter without leaving this page. We hide listings already in your compare row.

Reset
STEEL BED

Kimetenenezwa kw chuma kinawekewewa Velvet cover ya rangi unayotaka Kwa bei rahisi

TSh 300,000

BUSHRA PAFYUMU

Jipatie bushra yenye harufu ya kifahari inayo acha kumbukumbu nzuri yenye utulivu na bashara

TSh 17,000

Speaker

Spika ndogo na maridadi yenye sauti nzuri na bass yenye nguvu. Ina Bluetooth kwa kuunganisha simu kwa urahisi, muundo wa kisasa na kamba ya kubebea, hivyo ni rahisi kuitumia nyumbani, kazini au kwenye safari.

TSh 30,000

NIVEA LOTION

Inaondoa madoa na kuifany ngozi yako kuwa na muonekano mzuri Kuna ya Cocoa na Almonds

TSh 13,000

SHOWERGEL

Ni nzuri zipo za papa na za lemon kwa bei rahisi sana wanaweza kuogea watoto hata watu wazima

TSh 15,000

TOTU LIFE power bank

TOTU LIFE – Smart Device / Power Bank Kifaa cha kisasa cha TOTU LIFE chenye muundo wa kislimu na compact, kinachofaa kwa matumizi ya kila siku. Kina mwonekano wa premium, rangi nyeusi na sehemu yenye texture inayosaidia kushikika vizuri. * 🔋 Muundo compact na unaobebeka kwa urahisi * 🖤 Rangi nyeusi yenye mwonekano wa kisasa * 💎 Design ya premium na imara * 🎒 Rahisi kubeba popote * ⚡ Kinafaa kwa matumizi ya kila siku na safari

TSh 30,000

TOTU LIFE STORM C2

TOTU LIFE STORM C2 Smart Watch ⌚ Saa ya kisasa yenye muonekano wa kifahari na display kubwa ya kugusa, inayofaa kwa matumizi ya kila siku, mazoezi na shughuli mbalimbali. Ina kamba inayoweza kurekebishwa, muundo mwepesi na wa kuvutia, pamoja na mfumo wa smart watch unaokusaidia kufuatilia shughuli zako kwa urahisi. Sifa kuu: * ⌚ Smart Watch TOTU LIFE STORM C2 * 📱 Large Touchscreen Display * ❤️ Health & Fitness Tracking * 🔔 Notifications za simu * 🏃 Inafaa kwa mazoezi na matumizi ya kila siku * 🎨 Design ya kisasa na classy * 🔗 Kamba inayoweza kubadilik

TSh 60,000

DECORATIONS PICTURES

Zipo za A3 na A4 kwa bei rahisi unaweza dukani au sehemu yako ya buashara au nyumbani

TSh 15,000