Join Shoboca to order from local shops, sell as a seller, or deliver as a boda driver. Free to join.
Buyer toolkit

Compare products

Stack up to 4 listings from the same category or the same product name across shops and factories. Highlights show the best value for price, ratings, sales, views, and likes—plus softer signals when a listing has less sales history.

Ready to compare

Add at least two products

Use Add to compare in the catalog below to unlock side-by-side pricing, ratings, supplier details, and smart buy guidance.

Add products here

Search and filter without leaving this page. We hide listings already in your compare row.

Reset
LONG DRESS

Ni ndefu ina rangi 2 kwa wanawake ya kijani na maroon,unaweza kuvaa mahali kokote

TSh 35,000

SHORT DRESS

Ni nzuri,Nyeupe na inavaliwa na wanawake unaweza kuvaa kwenye party au kwenye harusi

TSh 35,000

H39 ultra 2

⌚🎧 SMARTWATCH 2 + EARPODS Unapata package kamili yenye: ⌚ Smartwatch H39 Ultra 2 🎨 Mikanda 7 tofauti za kubadilisha 🛡️ Covers 2 za saa 🎧 Wireless Earpods 🔌 Charger/Cable 📞 Kupiga & kupokea simu kupitia Bluetooth 💬 Notifications za simu na ujumbe 🎵 Kusikiliza muziki ❤️ Health & fitness features

TSh 39,000

BACKPACK

Hii ni *backpack* yenye muonekano wa kifahari 👇 *Maelezo ya mfuko huu:* - *Rangi na muonekano*: Rangi ya cream/beige na kahawia. Imejaa pattern ya herufi "GG" zinazorudia rudia, kama zile za mtindo wa Gucci. - *Vifaa*: Mwili mkuu ni kama canvas, na kuna kingo na mikanda ya ngozi bandia rangi ya kahawia giza chini na kando. - *Mfumo*: Ni mtindo wa backpack ya juu yenye kufungwa juu kwa kamba na buckles 2 za kahawia mbele. Pia kuna kamba nyekundu/orange ndefu katikati kama mapambo. - *Mifuko*: Ina mifuko 2 ya kando yenye vifuniko, na huenda kuna compartment kuu ndani. - *Mikanda*: Ina mikanda 2 ya kuivaa mgongoni, rangi ya kahawia. *Kumbuka*: Kwa muonekano huu inaelekea kuwa ni nakala/inspired design, si original ya Gucci. Original za Gucci huwa na ubora wa juu sana na bei ya juu.

TSh 55,000

S810

💎 Smartwatch ya Kifahari kwa Wanawake 💎⌚ ✨ Muonekano wa kisasa na wa kuvutia 🎀 Inakuja na bracelet ya kuvutia + straps 2 za ziada 📱 Inasaidia notifications za simu 📞 Kupokea/kupiga simu kupitia Bluetooth 💬 Ujumbe na taarifa za apps huonekana kwenye saa ❤️ Health & fitness tracking 🔋 Betri yenye matumizi mazuri 🎁 Package nzuri sana kwa zawadi

TSh 49,000

KIDS SMARTWATCH

SMART 2030 KIDS SMARTWATCH — SAA YA MTOTO 👦👧 📞 Piga & pokea simu kwa SIM Card 💬 Voice Message / Voice Chat 📍 LBS Location Tracking 🚨 SOS Emergency Button 📷 Camera ya kupiga picha 🔦 Flashlight 🎮 Games za watoto 💧 IP67 Water Resistant 📱 SIM Card Support — 2G 👨‍👩‍👧 Mawasiliano ya mzazi na mtoto 🎨 Inapatikana kwa rangi tofauti 6

TSh 35,000

ULTRA 3

ULTRA 3 SMARTWATCH — 7 IN 1 STRAP 🔥 Big 2.01" Display | Bluetooth Calling 📞 | Message & Call Notifications 💬 | Heart Rate ❤️ | Sleep Monitor 😴 | Sports Tracking 🏃 | Music Control 🎵 | Custom Watch Face 🖼️ | 7 Straps ndani ya box 🎨

TSh 23,000

Lasket

Begi nzuri sana inafaa Kwa safari pamoja na kupandia milima hazipitishi maji Ina mfumo wa mwamvuli

TSh 80,000