Compare products
Stack up to 4 listings from the same category or the same product name across shops and factories. Highlights show the best value for price, ratings, sales, views, and likes—plus softer signals when a listing has less sales history.
Ready to compare
Add at least two products
Use Add to compare in the catalog below to unlock side-by-side pricing, ratings, supplier details, and smart buy guidance.
Add products here
Search and filter without leaving this page. We hide listings already in your compare row.
Ni za kubebeka watoto waliozaliwa hospitalini zipo set ya blankets nne na unaweza kumbebea mtoto hata baada ya kurudi nyumbani
TSh 20,000
Zipo per set Inakuwa pisi mbili ndogo kubwa zipo za rangi ya brown,blue na pinki
TSh 45,000
Kitanda cha mbao kilichotengenezwa kwa mbao imara na bora, chenye muundo wa kisasa na unaovutia. Kina uimara mzuri, kinatoa support ya kutosha wakati wa kulala, na kinafaa kwa chumba cha kulala cha kisasa au cha kawaida. Ni rahisi kuendana na aina mbalimbali za mapambo ya chumba.
TSh 450,000
TV Showcase ni kabati maalum la kuweka TV, linalosaidia TV kukaa vizuri na kwa usalama huku likitoa nafasi ya kuhifadhi vifaa kama decoder, remote, game console na vingine. Lina muonekano wa kisasa na linafaa kwa sebule, chumba cha kulala au ofisi.
TSh 180,000
Zipo za rangi tofauti tofauti Kwa bei nafuu kabisa ni ndefu sana na zinkufanya uwe na muonekano mzuri
TSh 23,000
Zipo za rangi nne ni nzuri nzito na zinapatikana Kwa bei rahisi sana hazipauki pia
TSh 32,000
Long battery life wireless earphones inatumia bluetooth na memory card pia kwa bei rahisi sana
TSh 20,000
Ni nzuri zina magem mengi zaidi ya 200 na na ni kwa bei rahisi sana zipo za kutosha
TSh 35,000