Compare products
Stack up to 4 listings from the same category or the same product name across shops and factories. Highlights show the best value for price, ratings, sales, views, and likes—plus softer signals when a listing has less sales history.
Ready to compare
Add at least two products
Use Add to compare in the catalog below to unlock side-by-side pricing, ratings, supplier details, and smart buy guidance.
Add products here
Search and filter without leaving this page. We hide listings already in your compare row.
Urembo unaoonekana kwa mbali! Magauni haya ya lace yenye mikono mirefu yamekaa mwilini vizuri na yana mapambo ya maua kwenye pindo, yakifaa kwa dinner, birthday, party na matukio maalum.
TSh 25,000
Karibuni KIM MABEG ujipatie beg nzuri za kusafiria pochi za warembo nzuri na brand za sasa
TSh 80,000
Ongeza mvuto kwenye muonekano wako kwa shati hili lenye muundo wa kipekee, kitambaa laini na kinachopitisha hewa. Linafaa kwa outing, ofisini au kwenye matukio mbalimbali.
TSh 25,000
Maelezo ya Kiatu* *Aina*: *Men's Oxford / Derby Dress Shoe* *Nyenzo*: *Ngozi ya Synthetic/Leather* iliyopigwa polish *Rangi*: *Brown ya Kahawia* - rangi inayopiga na kila kitu *Vipengele Muhimu* 1. *Muonekano*: Mfumo wa _lace-up_ na mashimo 5 ya kamba. Ina mshono mzuri mbele "cap-toe" 2. *Sole*: Chini ni imara, nyeusi, haitelezi. Inafaa kutembea nayo muda mrefu 3. *Ndani*: Ina padding laini - inafanya ikai vizuri na isiumize mguu 4. *Ubora*: Kimepolishwa na kinaangaza. Kinarudisha mwonekano wa kifahari *Inafaa na nini* - *Ofisini* na suti au suruali ya kitambaa - *Matukio* - harusi, mahojiano, mikutano - *Smart Casual* - na chino au jeans ya giza - *Kila siku* kwa mwanaume anayetaka kuonekana kistaarabu *Kwa nini watu wanapenda hii style* - *Inadumu* - ukiipangusa inaka mpya - *Inaendana na kila rangi* ya nguo - *Mtindo haupiti* - Oxford ni classic - *Inatoa hadhi* - ukiivaa watu wanajua ni mtu makini *Ukubwa unapatikana*: 39 - 45
TSh 90,000
Karibuni kwa mahitaji mazuri ya pochi za kina mama na warembo wote ni nzuri na brand za kisasa
TSh 75,000
Ni nzuri unaweza kutumia restaurant,bedroom,living room na unaweza kutumia kwa ajili ya kushoot pia
TSh 25,000
Hiki ni kiatu cha sneaker cha mtindo wa Air Force 1, rangi nyeusi na nyeupe. Kina muonekano wa kisasa na kinafaa kwa kuvaa kila siku, jeans, tracksuit au casual wear. Air Force 1 yenyewe ni aina maarufu ya sneaker ya Nike.
TSh 60,000
Karibu KIM MABEG ujipatie beg nzuri za kisasa na poch za warembo nzuri sana na bora
TSh 75,000