About this product
Bougainvillea Tree
Mti wa Bougainvillea bandia wenye maua mazuri na yenye muonekano wa asili, unaopatikana katika rangi mbalimbali kama pink na white. Umetengenezwa kwa ajili ya kuongeza uzuri na mvuto katika mazingira ya ndani na nje.