About this product
DERBY DRESS OXFORD
Maelezo ya Kiatu* *Aina*: *Men's Oxford / Derby Dress Shoe* *Nyenzo*: *Ngozi ya Synthetic/Leather* iliyopigwa polish *Rangi*: *Brown ya Kahawia* - rangi inayopiga na kila kitu
*Vipengele Muhimu* 1. *Muonekano*: Mfumo wa _lace-up_ na mashimo 5 ya kamba. Ina mshono mzuri mbele "cap-toe" 2. *Sole*: Chini ni imara, nyeusi, haitelezi. Inafaa kutembea nayo muda mrefu 3. *Ndani*: Ina padding laini - inafanya ikai vizuri na isiumize mguu 4. *Ubora*: Kimepolishwa na kinaangaza. Kinarudisha mwonekano wa kifahari
*Inafaa na nini* - *Ofisini* na suti au suruali ya kitambaa - *Matukio* - harusi, mahojiano, mikutano - *Smart Casual* - na chino au jeans ya giza - *Kila siku* kwa mwanaume anayetaka kuonekana kistaarabu
*Kwa nini watu wanapenda hii style* - *Inadumu* - ukiipangusa inaka mpya - *Inaendana na kila rangi* ya nguo - *Mtindo haupiti* - Oxford ni classic - *Inatoa hadhi* - ukiivaa watu wanajua ni mtu makini
*Ukubwa unapatikana*: 39 - 45