About this product
Baby walker
Hii ni Baby Walker ya kisasa yenye muonekano mzuri na wa kuvutia kwa mtoto. Ina: 👶 Kiti chenye padding laini kwa ajili ya kumweka mtoto kwa starehe. 🧸 Sehemu ya kuchezea (toy tray) yenye vifaa vya kuchezea mtoto. ☂️ Canopy ya juu inayomsaidia mtoto akiwa kwenye walker. 🛞 Magurudumu madogo yanayosaidia walker kusogea kwa urahisi. 🎨 Rangi nzuri za mint/white/grey zinazofaa kwa mtoto wa kike au wa kiume. 🛡️ Base pana na imara kwa kuongeza stability wakati wa matumizi. Inafaa kwa: kumsaidia mtoto kujifunza kukaa, kusogea na kuzoea kutembea huku akicheza.