About this product
Suspenso Perfume
Suspenso ni perfume yenye harufu ya kuvutia, yenye character ya sweet, fresh na elegant, inayofaa kwa mtu anayependa kunukia vizuri na kuacha harufu inayokumbukwa.
✨ Sifa zake:
- 🌹 Harufu ya kuvutia na yenye mvuto
- 💐 Inafaa kwa matumizi ya kila siku
- 🌙 Nzuri pia kwa outing, dinner na sherehe
- ⏳ Inaweza kudumu kwa muda mzuri kulingana na ngozi na mazingira
- 👌 Harufu yake ni rahisi kuipenda na kuendana na style mbalimb