Join Shoboca to order from local shops, sell as a seller, or deliver as a boda driver. Free to join.
Buyer toolkit

Compare products

Stack up to 4 listings from the same category or the same product name across shops and factories. Highlights show the best value for price, ratings, sales, views, and likes—plus softer signals when a listing has less sales history.

Ready to compare

Add at least two products

Use Add to compare in the catalog below to unlock side-by-side pricing, ratings, supplier details, and smart buy guidance.

Add products here

Search and filter without leaving this page. We hide listings already in your compare row.

Reset
communion cake

Tunatengeneza communion cake za ngazi mbili kwa gharama nafuu sana tunapatikana ubungo mawasiliano bus stand tunatazamana na sokoni jeans

TSh 150,000

Graduation cakes

Tunauza keki za aina mbalimbali kwa gharama nafuu tunapatikana ubungo mawasiliano bus stand tunatazamana na sokoni jeans

TSh 55,000

RIDGEBACK TERRAIN 20

Baiskeli imara na yenye muonekano wa kisasa, inayofaa kwa matumizi ya kila siku pamoja na safari za maeneo yenye changamoto. ✨ Sifa kuu: * Magurudumu yenye matairi mazito ya grip kwa barabara mbalimbali * Suspension ya mbele kwa ulaini na udhibiti mzuri * Frame imara ya chuma * Gear system yenye derailleur ya nyuma * Brakes za kuaminika * Kiti comfortable kwa matumizi ya muda mrefu * Muundo wa kisport na kuvutia 🔥 Inafaa kwa: Safari za kawaida, michezo, mazoezi na matumizi ya kila siku.

TSh 200,000

CARRERA BICYCLE

Baiskeli ya Carrera Mountain Bike yenye muonekano wa kisasa na sporty. Imetengenezwa kwa ajili ya safari za mjini na barabara zisizo na lami, ikiwa na front suspension, tyres zenye grip nzuri na gears nyingi kwa matumizi rahisi na yenye nguvu. Ni chaguo zuri kwa usafiri wa kila siku, mazoezi na adventure.

TSh 250,000

JIM BICYCLE

Hii ni Mountain Bike (MTB) yenye muonekano wa kisasa na sporty, inayofaa kwa matumizi ya mjini na safari za maeneo yenye barabara zisizo sawa. * 🚲 Aina: MTB / Mountain Bike * ⚙️ Gears: Multi-speed gears * 🛞 Magurudumu: Magurudumu makubwa yenye tairi pana na grip nzuri * 🛑 Brakes: Disc brakes kwa braking salama * 🧱 Frame: Strong lightweight frame * 💺 Seat: Adjustable comfortable saddle * 🧺 Accessories: Front & rear carrier racks * 🍼 Bottle holder: Imewekewa sehemu ya kubebea chupa ya maji * 🛡️ Suspension: Front suspension kwa kuongeza comfort kwenye barabara zenye mashimo * 🎨 Color: White, black & red

TSh 250,000

MARCELO

Karibu KIM MABEG kwa maitaji mazuri ya beg imara kabisa na pia tunafungua beg iliyoloki namba kwa garama nafuu za kufungua pasword

TSh 450,000

MKOBA

Ni beg ambayo unaweka laptop ni special kwa ofice yoyote anatumia na haiingizi maji ndani

TSh 55,000

CB

Karibu SABARINGO MARKET ujipatie pochi nzuri sana za kisasa kwa bei rafiki wasiliana nasi

TSh 35,000