Compare products
Stack up to 4 listings from the same category or the same product name across shops and factories. Highlights show the best value for price, ratings, sales, views, and likes—plus softer signals when a listing has less sales history.
Ready to compare
Add at least two products
Use Add to compare in the catalog below to unlock side-by-side pricing, ratings, supplier details, and smart buy guidance.
Add products here
Search and filter without leaving this page. We hide listings already in your compare row.
Hili ni begi la mgongoni (backpack) la kisasa, linafaa kwa matumizi ya shule, chuo, kazi na safari. Maelezo ya kuuza: 🎒 Lina muundo wa kisasa na wa kuvutia. 💻 Lina nafasi nzuri ya kubeba laptop na vifaa vingine. 🔒 Lina zipu imara kwa usalama wa vitu vilivyomo. 🖤 Rangi ya kijivu na nyeusi inafaa kwa wanaume na wanawake. 💪 Limetengenezwa kwa material imara na linaloweza kutumika kila siku. 🎒 Lina straps zenye padding kwa ajili ya kubeba kwa urahisi. ✨ Lina muonekano wa kifahari na linafaa kwa kazi, shule na safari.
TSh 45,000
Karibu SABARINGO MARKET Tunauza mabegi aina mbali mbali ya kisasa,imara Kwa Bei rafiki Wasiliana nasi
TSh 55,000
Ina upepo mzuri na haipigi kelele speed level yake n 3 na upepo wake unafika mbali
TSh 50,000
Inatumia umeme inachemsha maji Kwa Dakika 3 na ina ubora wa hali ya juu ni nyepesi kubebeka na haiharibiki haraka
TSh 20,000
Ina tumia AC na DC...Unaweza kutumia Audio au SD card ina fm na unaweza kuunganisha kwa bluetooth
TSh 120,000
Inatumia bluetooth,USB Pia,ina FM,Audio na ina AC-DC sautu yake haikeri na imechujwa vizuri
TSh 95,000
Hand bag pure NGOZI na kitambaa kwa muonekeno super and expensive kwa mitoko yote
TSh 80,000