Join Shoboca to order from local shops, sell as a seller, or deliver as a boda driver. Free to join.
Buyer toolkit

Compare products

Stack up to 4 listings from the same category or the same product name across shops and factories. Highlights show the best value for price, ratings, sales, views, and likes—plus softer signals when a listing has less sales history.

Ready to compare

Add at least two products

Use Add to compare in the catalog below to unlock side-by-side pricing, ratings, supplier details, and smart buy guidance.

Add products here

Search and filter without leaving this page. We hide listings already in your compare row.

Reset
PAILOTI BAG

Ni bag nzuri kwa kusafiria na wanazipenda sana iwe kwenye. Bus au kwenye ndege au kwenye usafiri wowote ni nzuri sana

TSh 165,000

Hublot watch

ni saa inayojulikana kwa ubora, uimara na design nzuri. Inafaa kwa matumizi ya kila siku, kazini, shuleni, kwenye safari au kwenye matukio maalum. ⭐ Muonekano wa kisasa ⭐ Imara na hudumu muda mrefu ⭐ Rahisi kutumia ⭐ Inafaa kwa wanaume na wanawake ⭐ Inapatikana katika designs mbalimbali

TSh 65,000

Podga

ni saa inayojulikana kwa ubora, uimara na design nzuri. Inafaa kwa matumizi ya kila siku, kazini, shuleni, kwenye safari au kwenye matukio maalum. ⭐ Muonekano wa kisasa ⭐ Imara na hudumu muda mrefu ⭐ Rahisi kutumia ⭐ Inafaa kwa wanaume na wanawake ⭐ Inapatikana katika designs mbalimbali

TSh 50,000

FLAX SEED

Ni nzuri kwa maradhi inasaidia kuleta afya njema inapatikana kila wakati kwa kilo

TSh 10,000

UBUYU WA ACHALI/MAEMBE

Ni mtamu upo wa pili pili na wa kawaida upo mkubwa na upo mdogo kwa bei nafuu sana

TSh 11,000

PALMKIN SEED

Hizi ni mbegu za maboga ambazo husaidia kuongeza hamu ya tendo pia huimarisha mfumo wa uzazi kwa mwanaume na mwanamke

TSh 16,000

CHIA SEED

Hii ni nats zuri san kwa mtu anetaka kupunguza uzito pamoja na mweri ni zuri san na matokeo unayaona ndan ya siku 4 hapi siku 7 Pia kwa mtu amba ambaye huwa nakula san na kusikia njaa kila mda bc hii ni nats unapo tumia inakuafanya ujihis umeshiba kwa mda mlefe na haina madhara

TSh 15,000

Hello kitty bag

Hili ni begi la shule la watoto, lenye muonekano wa kuvutia wa rangi ya pinki na purple. Maelezo ya bidhaa: 🎒 Lina nafasi nzuri kwa ajili ya vitabu, madaftari na vifaa vya shule. 💗 Lina rangi ya pinki na purple yenye muonekano wa kisasa na wa kuvutia. 👜 Lina mifuko kadhaa yenye zipu kwa ajili ya kupanga vitu mbalimbali. 💧 Lina mfuko wa pembeni wa mesh kwa ajili ya chupa ya maji au vitu vidogo. 🎀 Lina mapambo mazuri ya Hello Kitty na bow yanayofaa zaidi kwa watoto. 👧 Lina mikanda ya mabegani yenye padding kwa ajili ya kubeba kwa urahisi. 🧵 Limetengenezwa kwa kitambaa imara na lina stitching nzuri. 🏫 Linafaa kwa matumizi ya shule, safari fupi na matumizi ya kila siku.

TSh 20,000